Monday, September 27, 2010

FANYA UAMUZI SAHIHI

Watanzania wenzangu, huu ni mwaka wa uchaguzi
Tunawaona wagombea kila mmoja akinadi sera zake. Ni wajibu wetu kama raia wema, kumchagua mgombea atakayefaa kutuletea mabadiliko ya kweli.
Kumchagua mtu kwa msingi wa chama ni suala moja; la kutilia maanani ni kutambua kuwa ninchaguaye ataweza kusimamia kikamilifu laslimali za nchi yetu.

Mimi binafsi nimechoka na viongozi wanaotoa ahadi hewa kila chaguzi na mwishowe kutofanya lolote!
Nafasi ya kupiga kura tunayopewa sisi kama watanzania, ni silaha pekee ya kuwakataa wala rushwa na walanguzi wa mali ya umma.

Lets say no to unfit contestants
say no to unaccountable leaders
say no to nepotic leaders who have flocked public offices with their relatives, sons and daughters!
say no to leaders who lack voice when it comes to issues of nation interest
say no all selfish and careless leaders.

TUMIA KURA YAKO VIZURI.

No comments:

Post a Comment